📌FOREX CHART PATTERNS IN SWAHILI💹📊📈
📈 Mifumo ya Kuendeleza Mwelekeo (Continuation Patterns)
(Soko linaendelea kwa mwelekeo ule ule)
1. Bullish Flag Pattern 🚩📈
- Huonekana baada ya bei kupanda haraka, kisha kusimama kidogo, halafu inaendelea kupanda.
- Mfano: EUR/USD inapanda → inatengeneza bendera → inavunja juu → inaendelea kupanda.
- Inaashiria wanunuzi bado wanatawala.
2. Bullish Pennant Pattern 🔼📈
- Pembetatu ndogo inayofuata baada ya kupanda kwa kasi.
- Mfano: GBP/USD inapanda haraka → inatengeneza pennant → inavunja juu.
- Kupumzika kidogo kabla ya mwelekeo kuendelea.
3. Bullish Falling Wedge 📉➡️📈
- Bei inashuka kidogo ndani ya wedge, kisha kuvunja juu.
- Mfano: USD/JPY inashuka polepole → inavunja juu.
- Inaonyesha udhaifu kwa wauzaji.
4. Bearish Flag Pattern 🚩📉
- Baada ya kushuka haraka, bei inarudi juu kidogo, halafu inaendelea kushuka.
- Mfano: EUR/JPY inaporomoka → inaunda flag → inaendelea kushuka.
- Wauzaji bado wanatawala.
5. Bearish Pennant Pattern 🔽📉
- Sawa na bullish pennant, ila hutokea baada ya bei kushuka.
- Mfano: AUD/USD inashuka → pennant → inavunja chini.
- Mfano: USD/JPY inasubiri taarifa kubwa → breakout inatokea.
- Usipendelee upande wowote kabla ya kuvunjika.
4. Symmetrical Expanding Triangle 🔻
- Bei inakuwa na mipaka mipana zaidi → breakout juu au chini.
- Mfano: GBP/JPY inaendelea kugeuka → angalia mwelekeo kabla ya kuingia.
- Mara nyingi hutokea kabla ya matukio makubwa.

Comments
Post a Comment
We'd love to hear from you!